The Door Christian Church Bagamoyo
Mahali Watu Wote Tunajali Kuhusu Watu.
Kanisa la Mahali Ulipo Lenye Maono Juu ya Ulimwengu Mzima.
Yesu akasema "Mimi Ndimi Mlango" Yohana 10:9
Ahsante kwa kutembelea ukurasa wa mtandao wa kanisa letu!
Tunatazamia kukuona ukiabudu pamoja nasi. Hatuna ratiba ngumu na zenye mpangilio uliozoeleka kama wa makanisa na madhehebu mengi.
Badala ya kufuata tamaduni zisizo na maana, tunafuata mwongozo wa Roho Mtakatifu na taratibu zilizopo ndani ya Biblia kwa ajili ya kanisa. Ni imani yetu kwamba Biblia ni mwongozo mkuu zaidi aliopewa mwanadamu.
Tunakuhakikishia kwamba hapa The Door Christian Church utasikia injili halisi ya Yesu inayotia changamoto.
Kuna kitu maalum kwa ajili ya kila mmoja kwenye familia yako katika ushirika wetu.
One Fellowship. Multiple Locations.
Copyright © 2023 The Door Christian Church Bagamoyo - All Rights Reserved.
We use cookies to analyze website traffic and optimize your website experience. By accepting our use of cookies, your data will be aggregated with all other user data.